2024 Mkutano wa Uinjilisti katika lugha mbalimbali. 

Kuwafikia ulimwengu wote ndani ya Kentucky


Shughuli hii ni bure! Tafadhali Jisajili mapema kisha uje. 

Tafadhali, mwakilishi mmoja anatosha ili apate kusajili Kanisa lako.


Tarehe 21, mwezi wa Septemba, 2024
11:00 am 4:00 pm ET (Eastern time / Saa za Mashariki, <Marekani>)

Bethlehem Baptist Church
Mahali: 5708 Preston Highway, Louisville, KY 40219
 

Tafhadhali singatia: Chagua watu wazima mpaka 20 tu kutoka kikundi chako cha kanisa lako, watakaohudhuria kwa uhakika, unaweza kuwasajili huku chini. Ukumbi unaingia watu wazima 400 tu (Watoto wanahesabiwa pembeni). Nia yetu ni kwamba, nafasi iwe wa kutosha kwa ajili ya makanisa mengi, kwa hiyo, tungependa kuhakikisha ya kwamba anayesajili ndiyo atakuja. Asanteni sana!


Ratiba

11:00am-12:00pm Mapokezi, Kufahamiana, na Chakula cha Mchana

12:00pm-12:45pm Chakula cha Mchana

1:00pm-1:45pm Ibada ya Kwanza

2:00pm-3:00pm Mafundisho kuhusu kufanya Uinjilisti

3:15pm-4:00pm Ibada ya Pili

4:00pm-4:15pm Tafhadali usisahau kwenda kuwachukua Watoto wako saa 4:15. Asante!


Ni lazima kila kanisa lijisajili ili kuhudhuria mkutano. Nafasi zimebaki chache katika mkutano huu. Kama ukijisajili basi usikose kuja. 

Huduma ya Watoto zitakuwepo kwa ajili ya watoto wa umiri wa kuanzia 0 hadi 12. Kuanzia saa 11:00 am mpaka saa 4:00 pm


Wasiliana nasi kama una swali lolote!

Eddie Torres: (502) 640-8747

April LaBolle: (502) 489-3408

[email protected]

Location Information

  • September 21st 2024 from 11:00 AM to 4:00 PM EDT
  • Bethlehem Baptist Church
  • 5708 Preston Highway, Louisville, KY, 40219
RegFox Event Registration Software